Biashara ya Unga wa Sembe
Ujasiriamali
by Ali Mwambola
Product Description:
Fursa za kufanya biashara ya unga wa sembe, zinatokana na changamoto wanazokuwa nazo wateja, kuhusu mahitaji yao ya bidhaa za unga wa sembe
Kwa hiyo wajibu wa mjasiriamali ni kutambua hizo changamoto za wateja, na kuzigeuza kuwa fursa ya kufanya biashara ya unga wa sembe
Ili upate msukumo wa kutumia fursa zinazo jitokeza, ni muhimu uwe na dhamira ya kufanya biashara ya unga wa sembe. Dhamira yako inabidi utekeleze mambo muhumu, kuhusu soko la biashara ya unga wa sembe na mahitaji ya wateja wa biashara ya unga wa sembe
Unapotaka kuanzisha biashara ya unga wa sembe, utaona mambo mengi ya kutekeleza. Kitabu hiki kinaeleza mambo yote muhimu ya kutekeleza, wakati una anzisha biashara ya unga wa sembe.